Saturday, December 24, 2016

MABINGWA watetezi Tanzania bara Yanga wamelazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa 17 wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara dhidi ya African Lyon. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, mabao yalifungwa na Ludovick Venance wa African Lyon na Amis Tambwe kwa upande wa Yanga. Sare hiyo itaendelea kuibakiza Yanga kwenye nafasi ya pili ikifikisha jumla ya pointi...
Mechi 14 za Ligi Kuu ya Vodacom zinatarajiwa kufanyika wakati huu wa msimu wa kufunga mwaka 2016 na mbili za zitafungua mwaka 2017 ambako Kituo cha Televisheni cha Azam - Wadhamini wenza wa ligi hiyo, wamethibitishia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupata burudani kwa michezo yote kulingana na ratiba. Katika Ligi hiyo ambayo pia inabarikiwa na Benki ya Diamond Trust (DTB),...

waliotembelea blog