Ninayo Good News imenifikia mtu wangu ambayo Watanzania wengi na wakazi wa Dar es salaam tulikua tukiisubiri kwa muda mrefu ni kuhusu kukamilika kwa mradi wa Mabasi yaendayo haraka ambayo zaidi ya mwaka na nusu yaliingia kwenye headlines za kuwa yatatoa huduma hizo.
Habari ikufikie kuwa Mabasi hayo rasmi yanaanza kazi August 17 Jumatatu kuanzia saa 3 asubuhi nje ya kituo...
Sunday, August 16, 2015


Basi la Simba likiwasili uwanja wa Taifa
Kikosi cha Simba SC leo kinacheza
mchezo wake wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya URA kutoka Uganda
ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa ligi kuu Tanzania
bara 2015-2016 mchezo utakaopigwa kwenywe uwanja wa Taifa.
Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wa kikosi cha Simba wakati wakiwasili...


Sergio Aguero akishangilia bao lake la kwanza dhidi ya Chelsea.Mbele
ya Mashabiki 54,331 Uwanjani kwao Etihad, Manchester City Leo
wamewabonda Mabingwa wa England Chelsea Bao 3-0 katika Mechi ya Ligi Kuu
England. Wakati huu ni ushindi wa pili mfululizo kwa City wa 3-0
kila Mechi tangu Ligi ianze Wikiendi iliyopita, kwa Chelsea hii ni Mechi
yao ya pili bila ushindi baada kuanza kwa Sare...


Bao
la Arsenal la kwanza limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 16 na
kipindi hicho hicho Crystal Palace walisawazisha kupitia kwa Joel Ward
dakika ya 28 na kufanya 1-1. Kipindi cha pili dakika ya 55 Damien
Delaney alijifunga dakika ya 55 na kuwapa bao la Ushindi Arsenal na
mtanange kumalizika kwa bao 2-1 Arsenal wakiibuka washindi.
Mbele ya Mashabiki 24,732.Mbele ya Mashabiki 24,732.
...


KLABU ya
Simba imeendeleza wimbi la ushindi kwenye mechi za kirafiki baada ya
kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya URA ya Uganda.
Kwenye
mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam mabao ya Simba
yalifungwa na Kelvin Ndayisenga kwenye dakika ya nne ya mchezo huo na bao la
pili likiwekwa kimiani na beki Juku Mushood kutoka Uganda.
Bao la la
URA lilifungwa...



Msanii
wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiongea na waandishi wa
habari ili kuwaelezea onyesho lao la bure wanalotarajia kulifanya Agosti
23, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala kuwahamasisha
mashabiki wao kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,
Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Pembeni ni Joseph Haule
“Professa J”, Juma Kassim “Sir Nature” pamoja na...
Subscribe to:
Posts (Atom)