Tuesday, July 7, 2015

Raia huyo wa Uingereza ambaye harakati za kuhamia Manchester City, zilitumbukia nyong'o amekadiriwa kuwa mwenye thamani ya pauni milioni 35 na kampuni ya utafiti ya Soccerex inayochapisha Orodha ya wachezaji wenye thamani ya juu ama 20 Football Value Index.Manchester City ilikuwa imeweka dau la pauni milioni £40 lakini ombi lao likakataliwa na Liverpool.Mlinzi wa Manchester United, Luke...
Bondia Bingwa wa dunia wa uzani wa Welter Floyd Mayweather amepokonywa ukanda alioutwaa baada ya kumchapa Mfilipino Manny Pacquiao mwezi Mei.Mmarekani huyo mwenye umri wa miaka 38 anadaiwa kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola lakimi mbili $200,000 kabla ya makataa aliyopewa ya tarehe 3 Julai. Mayweather alitakiwa pia kutoa...
Harold Mayne-NichollsAfisa wa shirikisho la soka duniani ,FIFA aliyesimamia jopo la kutathmini uwenyeji wa kombe la dunia la mwaka wa 2018 na 2022 amepigwa marufuku ya miaka 7FIFA imetangaza kuwa bwana Harold Mayne-Nicholls, 54 hataruhusiwa kushiriki maswala yeyote yanayohusiana na kandanda kwa kipindi cha miaka 7 ijayo.Kamati ya maadili ya FIFA imesema kuwa itatangaza wazi madai dhidi...
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Charles Boniface Mkwasa amewashukuru watanzania wote waliowapa sapoti katika mchezo wa marudiano dhidi ya Uganda uliochezwa mwishoni mwa wiki jijini Kampala.Mkwasa amesema kujitolea kwa wachezaji wa Taifa Stars (uzalendo) katika mchezo huo kulipelekea kuwapa wakati mgumu wenyeji,...
. Good news ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, H Baba ambaye ametangaza rasmi sasa hivi kurudi kwenye soka na kujiunga na timu ya Toto African. ‘Kupitia kwenye kipindi cha AMPLIFAYA cha Clouds FM july 7, 2015 alifunguka na kusema’Ni kweli kwamba mimi nina vipaji vingi sasa ubora wa vipaji ni kuvionesha kwasababu nilishawahi...
  Taarifa ilianza kuenea jioni ya July 07 2015 kwenye kuhusu ajali ya Helicopter iliyokua imebeba Wanachadema mbalimbali akiwemo mbunge Arumeru Mashariki Joshua Nassari. Kwenye ukurasa wa Twitter wa CHADEMA zimewekwa post kwamba Mbunge Joshua Nassari ndiye aliyepata ajali hiyo ya Helicopter, amepelekwa Hospitali kwa ajili ya matibabu pamoja na rubani...

waliotembelea blog