LIGI
KUU ENGLAND Wikiendi hii inaanza kwa Mechi ya Jumamosi ya mapema kabisa
huko Anfield kwa Bigi Mechi kati ya Liverpool na Vinara wa Ligi
Chelsea. Mechi
hii, itakayoanza Saa 9 Dakika 45 Mchana, inazikutanisha Liverpool,
walio Nafasi ya 7 kwenye Ligi, na Vinara wa Ligi Chelsea walio Pointi 12
mbele yao. Timu
zote hizi mbili zinatoka kwenye Mechi za kati Wiki za UEFA CHAMPIONS
LIGI...