Wednesday, March 11, 2015

  Ishu ya ubaguzi wa rangi kwa nchi za wenzetu bado imeendelea kuonekana kuchukua nafasi, hata katika soka matukio ya ubaguzi kwa baadhi ya wanasoka ambao ni weusi imeendelea kuchukua headlines. Tukio la hivi karibuni la mashabiki wa Chelsea lilionyesha dhahiri kwamba bado hawana mapenzi na watu wa rangi nyeusi baada ya kumzuia shabiki mwenzao asipande ndani ya...
Watu zaidi ya 30 wanasadikiwa kupoteza na maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya sana katika ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam. Ajali hiyo imetokea baada ya Lori hilo la Mizigo lililokuwa...
LEO JUMATANO Usiku Uwanjani Stamford Bridge Jijini London, Chelsea watakuwa Wenyeji wa Paris St Germain katika Mechi ya Marudiano ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za UEFA CHAMPIONS LIGI. Kwenye Mechi ya kwanza huko Parc des Princes Jijini Paris Nchini France hapo Februari 17, Branislav Ivanovic aliifungia Chelsea Bao muhimu la Ugenini walipotoka Sare 1-1 na PSG. Msimu uliopita, Chelsea...
 MRATIBU WA KIBIKI CUP HARUNA SALEH AKIWA NA MDAU WA SOKA FRANK KIBIKI Mratibu wa KIBIKI CUP Haruna Saleh akiwa na mdau wa soka FRANK KIBIKI na wanahabari   NA MWANDISHI WETU, IRINGA LIGI inayoshirikisha  watoto walio chini ya umri wa miaka 16, inaloitwa  Iringa Kibiki Childrens Cup 2015 yenye lengo la kupinga mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino) inatarajia...

waliotembelea blog