Friday, July 4, 2014

DIEGO ARMANDO MARADONA, Lejendari wa Argentina, amesema Nchi yao inacheza chini ya kiwango, wanamtegemea sana Lionel Messi na lazima waongeze juhudi ikiwa watataka kuifunga Belgium kwenye Robo Fainali ya Kombe la Dunia ambayo watakutana Jumamosi Usiku. Maradona amesema: “Bado hatujaanza! Lazima watambue wazi, waweke vichwani mwao, si kumtegemea Messi tu. Labda anaweza...
RAIS mpya wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, ameanza kazi yake rasmi kwa kuteua Kamati mbalimbali za Klabu hiyo na pia kusimamisha Wanachama 69 waliofungua Kesi Mahakamani. Aveva alitinga madarakani Simba baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita Jijini Dar es Salaam kwa kuzoa Kura 1455 na kumshinda Andrew Tupa aliepata Kura 388. Makamu wa Rais alichaguliwa Geoffrey Nyange...
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohn's John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.  Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati)...

waliotembelea blog