‘Morocco ilikjuwa imefungiwa na
CAF kushiriki AFCON mbili zijazo baada ya kujitoa kuandaa AFCON
iliyopita kwa hofu ya mlipuko wa Ebola.’
Usiyempenda kaja! Ndivyo unaweza kusema baada ya Mahakama ya
Usuluhishi wa Michezo ya Kimataifa (CAS) kutengua hukumu ya Shirikisho
la Soka barani Afrika (CAF) kuifungia Morocco kushriki AFCON mbili
zijazo 2017...
Thursday, April 2, 2015



Ligi
kuu Tanzania Bara itaendelea wikiendi hii huku kocha wa mabingwa wa
zamani wa Tanzania Bara, Simba, Mserbia Goran Kopunovic akiipigia
mahesabu ya ushindi timu ya Kagera Sugar katika uwanja wa Uwanja wa CCM
Kambarage Mjini Shinyanga ambao wanautumia kama uwanja wao wa Nyumbani
baada ya ule wa Kaitaba kuwa kwenye Matengenezo. Mchezo huo unatarajiwa
kuchezwa hapo Jumamosi kesho kutwa. Katika
...


wachezaji wa Coastal Union wakiwa na
mazoezi jana kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly chini ya
Kocha Mkuu Jamhuri Kihwelu “Julio”,
………………………………………………….
NA MWANDISHI WETU, TANGA
Timu ya Coastal Union ameanza kuzipigia hesabu pointi tatu muhimu za
wapinzani wao Tanzania Prison ili kuweza kuhakikisha wanazichukua
wakati watakapokutana kwenye mechi ya...



Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya
akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni
kabambe ya Airtel inayotoa ofa ya intaneti bure ijulikanayo kama ‘Na
Like asubuhi’, katika hafla iliyofanyika katika makao makuu ya kampuni
hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa
Airtel, Levi Nyakundi na (kulia) ni Meneja wa Kitengo...


LIGI KUU ENGLAND RATIBA Jumamosi Aprili 4 14:45 Arsenal vs Liverpool 17:00 Everton vs Southampton 17:00 Leicester vs West Ham 17:00 Man United vs Aston Villa 17:00 Swansea vs Hull 17:00 West Brom vs QPR 19:30 Chelsea vs Stoke Jumapili Aprili 5 15:30 Burnley vs Tottenham 18:00 Sunderland vs Newcastle Jumatatu Aprili 6 22:00 Crystal Palace vs Man City Jumanne Aprili 7 21:45 Aston Villa vs Q...


Jikekizz la nguvu la kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Radio 93.7 EFM.
Mstahiki Meya wa Kinondoni, Yussuf Mwenda akibadilishana mawazo na
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila walipo kutana katika
ofisi za EFM asubuhi ya leo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mtangazaji wa kipindi cha Joto la
Asubuhi, Dennis Ssebo akiwa na Mkurugrnzi Mkuu wa Radio 93.7 EFM,
Francis Ciza....



Jumamosi
Signal Iduna Park itakuwa na kivumbi kikubwa wakati Wenyeji Borussia
Dortmund watakapocheza na Mahasimu wao wakubwa wa Miaka ya hivi karibuni
Mabingwa Bayern Munich. Licha
ya kuwa Msimu huu Bayern wanaelekea kuutwaa Ubingwa kilaini wakiwa
Pointi 10 mbele kileleni na Dortmund kujikwamua toka mkiani na sasa wako
Nafasi ya 10, Mechi hii Siku zote haikosi ushindani. Hivi
karibuni...



Msanii mkali wa maigizo na vichekesho, Nchini, Amri Athuman a.k.a King
Majuto anatarajiwa kufanya shoo maalum ya vichekesho katika viwanja vya
kufurahia watoto Kariakoo, Aprili 7, mwaka huu Mjini Unguja, Zanzibar.
Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo kampuni ya Bond Entertainment
Limited, kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF),
walieleza kuwa gwiji huyo wa vichekesho...



Huku kukiwa na habari nzito kuwa
Chipukizi huyo moto mwenye Miaka 20 anaechezea pia England yuko mbioni
kwenda Real Madrid, Bayern Munich, Manchester City na Arsenal. Liverpool
ilitaka haraka kumfunga kwa kumpa Mkataba mpya mnono lakini kambi ya
Sterling imegoma. Mkataba wa sasa wa Sterling na Liverpool unakwisha 2017.
Sterling anahusishwa kwenda katika Klabu kama Real Madrid, Bayern Munich,...



Wakazi wa Geita Pasaka hii watapata kuwaona live' Wasanii wa Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba TAMASHA hilo la PASAKA litafanyika Jumapili tarehe 05/04/2015 sikukuu ya Pasaka yenyewe katika ukumbi wa GEDECO, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku.
Kiingilio kwa watu wazima ni kununua tu DVD mpya inayoitwa KAPOTIVE
LIVE SHOW kwa Tshs.10,000 tu. DVD hii inacheza pande zote mbili (Two...
Subscribe to:
Posts (Atom)