Wednesday, October 23, 2013

Msafara wa Magari ambao moja wapo (la mbele) likiwa limebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Julius Nyaisanga ukiingia kwenye viwanja vya leaders muda huu kwaajili ya wakazi wa jiji la Dar kuweza kutoa heshima zao za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Julius Nyaisanga kabla ya Kusafirisha Kwao Tarime Mkoani MaraBaadhi ya Ndugu, Jamaa na marafiki wakibeba jeneza lenye Mwili wa Marehemu...
Hii stage bado ikiwa haijakamilika ikiwa bado kwenye kutengenezwa (Underconstruction) ni kati stage za kisasa ambayo itaonekana siku hiyo ya Serengeti Fiesta 2013 katika viwanja vya Leaders Club Jumamosi 26 Oktoba 2013 kwa kiingilio cha shilingi 10,000/= Tz kama ukikata tiketi yako mapema na mlangoni utalipa shilingi 15,000/= TZ huku ukipata nafasi ya kuwashuhudia...

waliotembelea blog