Saturday, November 29, 2014

Arsenal Jack Wilshere atakuwa nje ya Uwanja kwa Miezi Mitatu baada ya kufanyiwa operesheni ya enka yake hii Leo. Wilshere aliumia Jumamosi iliyopita wakati Arsenal inachapwa Bao 2-1 na Manchester United Uwanjani Emirates. Habari hizi za operesheni ya Wilshere zimethibitishwa na Arsenal na mwenyewe Wilshere aliposti Picha yake Mtandaoni akiwa Kitandani baada ya kufanyiwa hiyo operesheni....
RATIBA - LIGI KUU ENGLANDJumamosi Novemba 29 15:45 West Brom v Arsenal 18:00 Burnley v Aston Villa 18:00 Liverpool v Stoke 18:00 Man United v Hull 18:00 QPR v Leicester 18:00 Swansea v Crystal Palace 18:00 West Ham v Newcastle 20:30 Sunderland v Chelsea Jumapili Novemba 30 16:30 Southampton v...

waliotembelea blog