
Siku ya leo ilikuwa ndio hitimisho la semina ya
Fursa
inayosimamiwa na Clouds media,ni semina
ilioyokuwa inatoa mafunzo ya
namna ya kuztumia fursa,ama
nafasi zinazotuzunguka kujikwamua na
umaskin
ama kujisogeza ,mahali ulipo
kwenda ngazi nyingine ya juu,na
mimi
nilikuwa mmoja
ya watu tuliotoa shuhuda za maisha yetu,jinsi...