
Hati ya Usajili wa Emmanuel Okwi kama inavyoeneka kwenye system ya CAFUongozi
wa klabu ya Young Africans umeamua kuweka hadharani ukweli kuhusiana na
usajili wa mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel
Okwi ambaye kamati ya maadili na hadhi za wachezaji imemzuia kuichezea
Young Africans mpaka watakapopata uthibitisho kutoka FIFA.Young
Africans ilikamlisha usajili wa...