
Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania
Bara, Yanga kimepata msukosuko baada ya basi lao kutumbukia msingini katika eneo la
Mikese mkoani Morogoro.
Basi hilo limepata ajali takribani saa
moja iliyopita wakati wakiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam baada ya
mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini
humo, jana.
Taarifa zinasema hakukua na majeruhi
lakini...