
Mbunge
wa Ilala mheshimiwa Mussa Zungu leo amefungua mashindano ya Airtel
Rising Stars mkoa wa Dar es Salaam na kuwataka vijana kucheza kwa
kujituma ili kuwa wachezaji bora na hatimaye kulinusuru taifa na matokeo
mabaya katika medani ya kimataifa. Zungu amelitaka Shirikisho la
Mpira wa Miguu nchini (TFF) kuhakikiha kwamba timu zote za ligi kuu na
daraja la kwanza zinakuwa na timu...