Wednesday, February 12, 2014

Kikosi cha Azam FC kikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa Dar es Salaam tayari kwa safari ya Mozambique, Azam FC wamesafiri kwenda Msumbiji kupambana na klabu ya Ferroviario katika michuano ya wawakilishi barani Afrika. Wakati Azam wakielekea Msumbuji, wapinzani wao Ferroviario bado wapo nchini tokea wacheze na Azam wikiendi iliyopita wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Azam complex kufanya...
Jumla ya wachezaji na viongozi 30 wa klabu ya Yanga watasafiri kwenda visiwa vya Komoro kucheza mchezo wa marudiano katika michuano ya klabu bingwa Afrika. Kikosi kamili cha wachezaji wa Yanga watakao ondoka ni kama ifuatavyo;  Magoikipa ni: Deogratias Munish "Dida" na Ally Mustafa "Barthez". Walinzi: Juma Abdul, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, David Luhende, Nadir Haroub "Cannavaro",...
...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati hafla ya maonesho maalumu ya kumbukumbu ya Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam jana usiku, Feb 11,2014.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza...
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), linatarajiwa kuendesha zoezi la ukaguzi wa katiba za wanachama wake ili kuhakikisha hazipingani na za Shirikisho la Kimataifa (Fifa), CAF na TFF. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura, kila mwanachama atawajibika kuwasilisha katiba yake na kisha kufanyiwa kazi na Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya shirikisho hilo ili kubaini...
 Mcheza sinema mahiri ulimwenguni Harrison Ford mwenye umri wa miaka 71 amedhihirisha sio uigizaji tu ndiyo yupo fiti, bali hata kuendesha helkopta. Harrison Ford ambaye pamoja na kucheza sinema mbalimbali,lakini mojawapo iliyopata kumpa umaarufu zaidi inaitwa Airforce One.  Harrsison Ford akiwa anaikagua helkopta yake kabla ya kuruka angani Muigizaji mahiri Harrison...
Wakati yeye anakaa chini na kuangalia Arsenal kucheza Manchester United katika moja ya kubwa kuweka-kipande hafla ya Kiingereza soka ya, Roy Hodgson wanaweza kutambua kitu mwenyewe katika mtu katika mitumbwi mbali. Mara moja, meneja England alisimama ambapo David Moyes sasa ni. Yeye alikuwa ametoka kwa Liverpool na CV enviable na sifa - mafanikio yake katika kuchukua...
Serikali ya Afrika Kusini inachunguza uwezekano wa kuwasilisha ombi la kuandaa mashindano ya Jumuiya ya Madola au Commonwealth mwaka wa 2022. Rais wa kamati ya olimpiki nchini Afrika, Kusini Gideon Sam, amesema ana nia ya kuomba mashindano hayo kuandaliwa barani Afrika kwa mara ya kwanza. ''Naamini huu ni wakati wa Afrika kuandaa mashindano hayo'' Alisema Bwana Sam. Msemaji wa baraza...
Baada ya kufululiza kwa matokeo mabaya dhidi ya Chelsea na Norwich, kocha wa Man city, Manuel Pellegrini ameamua kuwaita mazoezini wachezaji wake wote walikuwa majeruhi na wazima ili kurudisha hali ya timu kabla ya mambo kuharibika. Man city inakabiliwa na majeruhi wengi wakiwemo wachezaji tegemezi kama  Fernandinho, Samir Nasri na Sergio Aguero. Licha ya kuwa majeruhi...
Mechi ya ligi kuu ya Premier kati ya Fulham na Liverpool siku ya Jumatano, huenda ikahairishwa ikiwa mgomo wa wafanyakazi wa treni mjini London utaendelea kama ulivyopangwa. Wafanyakazi hao wa treni wanatarajiwa kuanza mgomo wa saa 48 kuanzia leo, hali ambayo inaweza kutatiza shughuli za usafiri kama ilivyokuwa wiki iliyopita mjini humo. Wasimamizi wa Fulham wana wasi wasi kuwa wafanyakazi...
...

waliotembelea blog