Saturday, September 26, 2015

VIKOSI:Leicester: Schmeichel, De Laet, Huth, Morgan, Schlupp, Mahrez, Kante, Drinkwater, Albrighton, Okazaki, Vardy.  Akiba: King, Simpson, Kramaric, Ulloa, Schwarzer, Inler, Dodoo. Arsenal: Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Flamini, Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Walcott.Akiba: Debuchy, Gibbs, Arteta, Giroud, Ospina, Oxlade-Chamberlain, Chambers. Referee: Craig Pawson...
Dakika ya 90 Juan Mata alifanikisha bao la tatu na kufanya mtanange umalizike dakika 90 kwa bao 3-0 Man United wakiibuka kidedea.Rooney akishangilia baada ya kuipatia bao la Pili Man UnitedKipindi cha pili dakika ya 45 Wayne Rooney aliifungia bao la pili Man United na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Sunderland. Memphis Depay aliipeleka Man United Mapumziko za dakika ya 45 kwa bao 1-0 Man United...
Mshambuliaji wa Barcelona Neymar amethibitisha kuwa alikuwa na mazungumzo kuhusu kujiunga na Manchester United msimu huu lakini hakupokea ombi thabiti.United ilihusishwa na uhamisho wa raia huyo wa Brazil, aliyefunga mabao 57 ya Barcelona mwishoni mwa dirisha la uhamisho.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amesema kuwa: ''Kulikuwa na mazungumzo lakini hakukuwepo na majadiliano ya kina''....
Mshambuliaji wa Yanga Malimi Busungu anaipatia bao la pili  Yanga na kufanya 2-0 dhidi ya Timu ya Simba Sc. Dakika ya 44 Amissi Tambwe aliipatia bao la kuongoza Yanga na kwenda mapumziko Yanga SC ikiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Simba SC. Dakika ya 35 bado ni 0-0. Kipute kimeanza sasa ....Simba 0 vs 0 Yanga. LIGI KUU VODACOM RATIBA Jumamosi Septemba 26Simba vs Yanga Coastal Union vs...
Kipute ni 4-1 dhidi ya Man City3-1Toby Alderweireld 50'Eric Dier anaisawazishia bao Spurs dakika ya 45 na kufanya 1-1 na mpira kwenda mapumziko wakiwa nguvu sawa!1-0BAO la Kevin De Bruyne dakika ya 25VIKOSI: Tottenham team wanaonza XI: Lloris; Walker, Alderweireld, Vertonghen, Davies; Alli, Dier; Eriksen, Son, Lamela; Kane Akiba: Vorm, Rose, Trippier, Carroll, Chadli, Townsend, Clinton Manchester...

waliotembelea blog