Waandishi
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa
wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu (Octoba 19 hadi 22) juu
ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi
wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA.
Wanahabari
watapata fursa ya Kujadili yale yanayoendelea katika kuelekea kwenye
Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Octoba 25 mwaka huu na nanma Vyombo
vya Habari/ Waandishi wa Habari wanavyoripoti habari za Uchaguzi Mkuu
kwa kuzingatia haki sawa kwa pande zote ikiwemo wagombea, wapiga kura
huku suala la gender balance pia likizingatiwa.
Waandishi
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa
wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu juu ya VYOMBO VYA
HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari
Wanawake Tanzania TAMWA.
Waandishi
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa
wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu juu ya VYOMBO VYA
HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari
Wanawake Tanzania TAMWA.(P.T)
Majadiliano yakiendelea
Majadiliano yakiendelea
Beatrice
Bandawe (Kushoto) ambae ni Mhariri wa Gazeti la Nipashe akiwa pamoja na
Godfrida Jola (Kulia) ambae ni Afisa Programu TAMWA wakitoa ufafanuzi
juu ya Semna kwa wanahabari inayofanyika Jijini Mwanza.
Leonida
Kanyuma ambae ni Afisa Habari TAMWA akizungumza katika Semina kwa
Wanahabari juu Vyombo vya Habari na Uchaguzi inayofanyika Jijini Mwanza.
0 maoni:
Post a Comment