D. Drogba aliifungia bao la pili dakika ya 23 kwa mkwaju maridadi wa penati na bao la tatu alifunga Timu Kepteni wao John Terry katika dakika ya 31. Kipindi cha pili dakika ya 54 mchezaji wa Nk Maribor Mitja Viler alijifunga bao na kuwapa bao la nne Chelsea.
Dakika ya 64 Agim Ibraimi alikosa penati baada ya mpira kugonga posti. Chelsea bao lake la tano limefungwa kwa mkwaju wa penati na Eden Hazard katika dakika ya 77 kipindi cha pili. Eden Hazard alimaliza mchezo kwa kufunga bao la mwisho la 6 katika dakika ya majeruhi ya 90 na mchezo kumalizika 6-0.
RATIBA/MATOKEO
Jumanne Oktoba 21
KUNDI E
CSKA Moscow 2 vs 2 Man City FT
AS Roma vs Bayern Munich
KUNDI F
APOEL Nicosia vs Paris St-Germain
Barcelona vs Ajax
KUNDI G
Chelsea vs NK Maribor
FC Schalke 04 vs Sporting Lisbon
KUNDI H
BATE Borisovs vs Shakhtar Donetsk
FC Porto vs Athletic Bilbao
0 maoni:
Post a Comment