MAAJABU YA MBEYA HEBU SOMA HII KWA MAKINI KABISA.
Huyu mzee alifika katika studio za Kyela FM, anasema yeye anahitaji Msaada anataka kwenda kumfufua Mwl. Julius
Kambarage
Nyerere baba wa Taifa aliyefariki Miaka 15 iliyopita,Na huo ufunguo
ameushika mkononi ndiyo wa kumfufulia! Madai yake mzee huyu
anasema
anaenda kumfufuana Mwalim ndiye atakuja kusimamia uchaguzi wa mwaka
2015.Na pia anaibashiria CCM kuwa mshindi atatoka katika chama cha CCM.
0 maoni:
Post a Comment