Bao la pili lilifungwa na Theo Walcott dakika ya 41 baada ya kumalizia mpira uliotemwa na kipa wa Leicester City.
Andrej Kramaric aliipatia bao Leicester City kipindi cha pili dakika ya 61 na mtanange kumalizika kwa dakika 90 kwa 2-1 Arsenal wakiibuka na ushindi. Ushindi huu wa Arsenal umemshusha Man United nafasi ya tano nao Gunners kushika nafasi ya nne kwa muda wakiwa na pointi zao 45 na Man United wakishinda kesho watamshusha pia kwani wanacheza kesho Jumatano na Timu ya Burnley usiku.Laurent Koscielny aliipachikia bao la kwanza Arsenal kipindi cha kwanza dakika ya 27 akipata mpira kutoka kwa Mesut Özil.RATIBA/MATOKEO
Jumanne Februari 10
Hull 2 vs 0 Aston Villa
Sunderland 0 vs 2 QPR
Arsenal 2 vs 1 Leicester
Liverpool 3 vs 2 Tottenham Taswira Emirates Stadium
0 maoni:
Post a Comment