Kikundi cha Platinum Dancers
kikionyesha umahiri wao wakati wa shindano la kumsaka mshindi wa dansi
la Serengeti fiesta, lililofanyika katika Ukumbi wa Klabu Lavida , mjini
Tanga leo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya tamasha la Serengeti fiesta
linalotarajiwa kufanyika kesho jumamosi Agosti 23 kwenye Uwanja wa
Mkwakwani mjini humo.
Majaji wa shindano la kumsaka
mshindi wa dansi la Serengeti fiesta wakifuatilia kwa makini namna
wasanii wanavyotoana jasho ili kumpata mshindi wa shindano hilo.
Kundi
la Street Color, likionyesha umahiri wao katika kinyang’anyiro hicho
ambacho mshindi aliondoka na kitita cha sh milioni moja na kupata
nafasi ya kutoa shoo katika tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa
Mkwakwani mjini Tanga.
Lucas Kaili wa kundi la Ice Cream naje akijaribu bahati yake wakati wa shindano hilo.
Kundi la Ice Cream likipozi kwa
picha mara baada ya kutangazwa washindi wa dansi la Serengeti fiesta
na kujishindia zawadi ya sh milioni moja.
0 maoni:
Post a Comment