mwili wa mtoto ukitolewa hospital ya mkoa wa kagera
heshima za mwisho zilitolewa
jamaa waliokuja kuhaani
mwili wa mtoto Alban Silvan Mloka aliezaliwa 25-04-2012 na kufariki 13-11-2013 ghafla, mtoto alikuwa na umri wa mwaka mmoja na miezi saba
heshima za mwisho
majonzi....
mwili wa mtoto ukipakiwa kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea morogoro kwa mazishi
mama wa mtoto mwenye kitambaa cheupe akisaidiwa kwenda kupanda gari
mama wa mtoto mrs mloka yeye ni mwalimu wa shule ya sekondari bilele
wafanyakazi wa Tanroad kagera wakiwa msibani
wanafunzi wa shule ya sekondari bilele walifika kumpa pole mwalimu wao aliefiwa na mtoto
bw mloka na mkewe,ndugu jamaa na marafiki wakiwa kwenye gari tayari kwa safari kuelekea morogoro
0 maoni:
Post a Comment