Baadhi ya wana Bongo dansi wakiwa katika picha ya pamoja na bendi ya vijana Jazz wakati wa kusherehekea mwaka mmoja wa kundi hilo tangu lianzishwe kwenye mtandao wa kijamii wa fecebook ambapo kundi hilo mpaka sasa lina wanachama 3,086 mashabiki wa bendi mbalimbali za mziki ya dansi nchini. picha na www.burudan.blogspot.com
Baadhi ya wanachama maarufu wa Bongo dansi kushoto ni Abdulfareed Hussein , Senetor Mwinyi na William Kaijage walipokutana katika sherehe za mwaka wa kundi hilo zilizofanyika vijana kinondoni Dar es salaam. picha na www.burudan.blogspot.com
wafulumusha magitaa wa bendi ya Vijana Jazz wakiwajibika wakati wa sherehe za kutimiza mwaka mmoja kwa kundi la Bongo Dansi ambao ni mashabiki wa mziki wa dansi nchini wanaokutanishwa katika mtandao wa kijamii wa fecebook kushoto ni Shomari Ally na Said Kizunga picha na www.burudan.blogspot.com
Wasanii wa bendi ya Vijana Jazz wakiserebuka
Mpiga tumba wa bendi ya vijana jazz Ally Rajabu kushoto na Mpiga drams wa bendi hiyo Samata Hassani wakiwajibika wakati wa onesho lao
Waimbaji wa bendi wa Vijana Jazz kutoka kushoto ni Saburi Athumani,Julius Mwesiwa,Abdallah Mgonahanzeru na Husein Boom wakitoa burudani
Waimbaji wa bendi ya vijana Jazz wakitoa burudani kwa kundi la Bongo Dansi kutoka kushoto ni Julius Mwesiwa na Komweta Maneti picha na www.burudan.blogspot.com
Baadhi ya wana Bongo Dansi wakiwa katika meza wakiendelea kupata burudani za vijana jazz
Mwimbaji wa bendi ya Vijana Jazz Komweta Maneti kushoto akiserebuka na wana bongo Dansi wakati wa onesho lao
0 maoni:
Post a Comment