2-1
Smalling anagongewa kisigino na Juan Mata kama pasi ya kijanja na
kufunga bao na kuwaacha mabeki wa Wolfsburg wakiduwaa! Smalling alifunga
bao hilo kipindi cha pili dakika ya 53 na kuipa bao la pili Man United.
David De Gea kama kawaida kufurahi Timu inapopata bao!

Hoi!!

1-1
1-1 man u penati ya mata dakika 34
1-1

1-1 Mata akishangilia na mpira baada ya kusawazisha

Yes! 1-1

Ni balaa tupu! wote wanazo 3



1-0

Wakijiuliza!!
0 maoni:
Post a Comment