Mchezaji Jesus Navas nae akishangilia bao la pili kwa City baada ya kufunga bao hilo dhidi ya Cardiff City.
BAO la tatu kwa City limefungwa dakika ya 76 na mchezaji wao matata Yaya Touré na bao la mwisho likifungwa na Sergio Agüero katika dakika ya 79.
Bao za Cardiff City zimefungwa kipindi cha kwanza wakianza kuwafunga City kupitia kwa mchezaji Craig Noone katika dakika ya 29 kipindi cha kwanza. Mchezaji wa zamani wa United Fraizer Campbell akawafungia bao katika dakika za lala salama za nyongeza katika dakika ya 90' +3. Ushindi huu wa City unawakarisha tena nafasi hiyo hiyo ya bili wakiwa na pointi 50 nyuma ya Vinara Arsenal waliofunga bao 2-0 timu ya Fulham na kusonga mbele tena kwa kukalia Kilele hicho wakiwa na pointi 51.

dzeko afikisha bao la 100
Cardiff City wakimzonga refa Neil SwarbrickWakisawazisha na kufanya 1-1
Jesus Navas akishangia bao lake kwa aina yake akiwa kwenye kona ya uwanja wao Etihad
0 maoni:
Post a Comment