Dakika
ya 15 Peter Crouch aliifungia bao la kwanza la kichwa na kuifanya
Stoke City kuwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Newcastle baada ya Victor
Moses kutoa krosi safi kwa Crouch ambaye ameunga kwa kichwa hadi langoni
mwa Newcastle.
Kibarua mashakani kwa kocha Pardew!
Mpaka mapumziko Stoke ndio ilikuwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Newcastle United.
Ushindi
wa kwanza wa Nyumbani kwa Stoke City msimu huu wakimtungua Newcastle,
bao likifunhgwa na Peter Crouch kipindi cha kwanza dakika ya 15 kwa
kichwa.
Kocha
wa Newcastle Pardew akiwa kwenye Mawazo mazito kipindi cha pili na hapa
akiwa nyuma ya bao 1-0 kwenye Uwanja wa Stoke City Britannia.
VIKOSI:
Newcastle XI: Krul, Janmaat, Coloccini, Williamson, Dummett, Tiote, Colback, Sissoko, Cabella, Gouffran, Riviere
Stoke XI: Begovic, Bardsley, Shawcross, Wilson, Muniesa, Whelan, Nzonzi, Diouf, Adam, Moses, Crouch
0 maoni:
Post a Comment