Alexis Sanchez aliipachia bao na kufanya 1-0 dhidi ya timu ya Uturuki Besiktas kwenye dakika za majeruhi za kipindi cha kwanza baada ya Jack
Wilshere
wa Arsenal kufanya jitihada na kumwachia afunge Sanchez aliyekuwa sehemu
nzuri na kufunga bao hilo. Arsenal mpira huu hawakuumaliza 11 dakika ya
75 kipindi cha pili mchezaji wao Debuchy alipewa kadi ya njano ya pili na kuondoshwa kwa kadi nyekundu baada ya kufanya ndivyo sivyo.
Kimbiza kimbiza kila mchezaji akiunyatia kuupata mpira
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger
Kocha Mkuu wa England Roy Hodgson (akiwa nyuma) nae akishuhudia kipute kwenye Uwanja wa Arsenal Emirates.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Debuchy, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Wilshere, Flamini, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Cazorla, Sanchez.
Akiba: Martinez, Rosicky, Podolski, Chambers, Sanogo, Campbell, Coquelin.
Besiktas: Zengin, Koybasi, Franco, Gulum, Ramon, Hutchinson, Kavlak, Ozyakup, Pektemek, Sahan, Ba.
Akiba: Gonen, Kurtulus, Sivok, Tore, Uysal, Koyunlu, Tosun.
Refa: Pedro Proenca (Portugal)
RSS Feed
Twitter
2:12 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment