Majanga: Kiungo wa Arsenal, Mikel Arteta atakaa nje ya uwanja kwa mechi mbili zijazo.
HABARI mbaya kwa
mashabiki wa Asernal, Mikel Arteta atakaa nje ya uwanja katika mechi
mbili zijazo baada ya kupata majeruhi ya kifundo cha mguu wakati wa
mechi ya mtoano ligi ya mabingwa barani Ulaya jumanne ya wiki hii dhidi
ya Besiktas.
0 maoni:
Post a Comment