Rapper Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba
wake aliyekuwa mjamzito kwa huzuni kubwa baada ya mchumba wake huyo
kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku.
“Jana usiku mke wangu alianguka, alifikia tumbo kwahiyo akawa anasikia kizunguzungu nilipompeleka hospitali daktari akasema mtoto amekufa,” Nay .
0 maoni:
Post a Comment