Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km
50.3) katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Wengine katika picha ni Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka watatu kutoka kulia Waziri wa Ujenzi
Profesa Makame Mbarawa wakwanza kulia pamoja na viongozi wengine.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
viongozi wengiene akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mitambo
itakayotumika katika ujenzi wa mradi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km
50.3).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo ya mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3)
kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS
Mhandisi Cristianus Ako kabla ya kuweka jiwe la msingi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa Maswa kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa wa Barabara
ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3), mkoani Simiyu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa mara baada ya kuwasili
Wilayani Maswa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka mara baada ya kuwasili
Wilayani Maswa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Waziri wa TAMISEMi na Kazi maalumu kutoka Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Haji Omari Heri kabla ya kuweka jiwe la msingi
ujenzi wa barabara hiyo ya Mwigumbi-Maswa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Waziri wa TAMISEMi na Kazi maalumu kutoka Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Haji Omari Heri wakimwagilia maji mti mara baada
ya kuupanda baada ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya
Mwigumbi-Maswa (Km 50.3), mkoani Simiyu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
saini kwenye Ubao kwa kutumia Chaki zinazotengenezwa na Kiwanda cha
Chaki cha Maswa Mkoani Simiyu. Rais Dkt. Magufuli aliwapongeza wenye
kiwanda hicho na kuwashauri kukipanua zaidi ili kiweze kuwafikia
Watanzania wengi wenye mahitaji ya Chaki.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia Wakazi wa Maganzo mkoani Shinyanga mara baada ya kumaliza
ziara yake ya siku mbili mkoani Simiyu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia Wakazi wa Maganzo mkoani Shinyanga mara baada ya kumaliza
ziara yake ya siku mbili mkoani Simiyu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wakazi mbalimbali wa Maswa mara baada ya kumaliza kuwahutubia Wilayani
humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wakazi mbalimbali wa Maswa mara baada ya kumaliza kuwahutubia Wilayani
humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka wakiangalia utengenezwaji wa Chaki
katika kiwanda cha Chaki cha Maswa mkoani Simiyu.
0 maoni:
Post a Comment