Makomandoo
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakionyesha uwezo wao wa kupigana
bila silaha katika Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar
kwenye wawnja wa Aman Januari 12, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Makomandoo
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakionyesha jinsi matofari
yanavyoweza kuvunjwa juu ya kichwa katika maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman, Januari 12, 2017. (Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu)
Komandoo
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akiwa amelala juu ya misumari huku
wenzake wakipita juu yake ikiwa ni moja ya maonyesho ya ukakamavu
yaliyoonyeshwa na Makomandoo hao katika maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman Januari 12. 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais
wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein akihutubia katika kilele cha
Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman
Januari 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais
Mstaafu wa Zanzibar, Aman Karume akiteta na Rais Mstaafu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete katika maadhimisho ya miaka 53
ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Aman Zanzibar
Januari 12, 2017.
Baadhi
ya waandamanaji wakishangilia wakati walipopita mbele ya Rais wa
Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein katika maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman, Zanzibar Januari 12, 2017.
Mmoja
wa wananchi wa Zanzibar akimsikiliza kwa makaini Rais wake, Dkt. Ali
Mohammed Shein wakati alipohutuba katika Maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman Januari 17, 2017.
Rais
wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, Makamu wa Rais, Samia Suluhu,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Sif Idd wakifuatilia kwa makini gwaride la Maaddhisho ya miaka
53 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman, Januari 12, 2017
Askari
wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi cha Zanzibar akipita kwa ukakamavu
mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein katika
gwaride la kuadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12,
2017.
0 maoni:
Post a Comment