Wachezaji wa Miembeni wakisalimia waamuzi pamoja na wachezaji wenzao wa timu ya kagondo Salama!! karibu Kagasheki Cup 2013: Timu zikisalimiana na kufamiana Kagondo nao wakisalimiana na waamuzi Kikosi cha Timu ya Miembeni Benchi la Miembeni na wachezaji wa akiba Benchi la Kagondo Waamuzi wakiteta na timu kapteni hapa kuhusu jambo fulani na kuona wapi wanaelekea.
0 maoni:
Post a Comment