Inasikitisha kwa kweli.
-------------------------------------------------
Mtoto huyu katika Picha ni mtoto wa
miezi nane (8) kutoka Nchini china katika Jimbo la Xuzhou,amabe kwa
mapenzi ya Mungu ameweza kumsaidia baada ya mama yake kumchoma mara 90
na Mkasi katika uso wake kama anavyoonekana katika picha baada ya
kufikishwa Hospitali.
Alishonwa nyuzi 100 katika majeraha yaliokuwa katika uso wake.
Huyu ni mjomba wake aliemsaidia na pia alijitolea kutoa Damu iliokuwa ikiitajika ili aongezewe.
Alipokuwa akipatiwa matibabu hospital baada ya tukio hilo.
0 maoni:
Post a Comment