MABINGWA
wa zamani wa England, Manchester City wameanza vyema msimu mpya wa Ligi
Kuu kwa ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya West Bromwich Albion
usiku wa kuamkia leo.
Shujaa
wa mechi alikuwa na kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast, Yaya Toure
aliyefunga mabao mawili, lingine likifungwa na beki Mbelgiji, Vincent
Kompany.
Mwanasoka
bora Afrika, Yaya Toure alianza kuifungia Manchester City dakika ya
tisa baada ya shuti lake la umbali wa mita 20 kumbambatiza Boaz Myhill
na kutinga nyavuni, kabla ya kufunga la pili dakika ya 24.
Nahodha
wa Man City, Vincent Kompany akakamilisha ushindi mnono katika mchezo
wa kwanza wa timu yake kwa kufunga bao la tatu dakika ya kwa kichwa 59.
Mchzeaji
mpya, Raheem Sterling aliyesajiliwa kutoka Liverpool, alicheza vizuri
katika kikosi cha City jana, lakini akapoteza nafasi nzuri na ya wazi ya
kufunga.
Kikosi
cha West Brom kilikuwa: Myhill, Chester, Dawson, Lescott, Brunt,
Morrison, Gardner, Fletcher, McClean/Yacob dk46, Lambert/Anichebe dk73
na Berahino/McManaman dk79.
Man
City; Hart, Sagna, Kompany, Mangala, Kolarov, Toure/Demichelis dk79,
Fernandinho, Jesus Navas, Silva, Sterling/Nasri dk73 na Bony/Aguero
dk62.
Yaya Toure akifumua shuti kuifungia Man City nbao la kwanza buku kiungo wa Baggies, James Morrison akijaribu bila mafanikio kuzuia
Manchester City captain Vincent Kompany celebrates putting his side into a 3-0 lead against West Brom on Monday night
Yaya Toure fires City on their way and
into a 1-0 lead as Baggies midfielder James Morrison fails to block the
Ivorian's low drive
City midfielder David Silva (third
left) flicks the ball through the legs of West Brom's Craig Dawson as
the visitors take a 1-0 lead
Baggies goalkeeper Boaz Myhill looks on in desperation as the deflected shot trickles agonisingly over the line
0 maoni:
Post a Comment