Baraza
la usalama la umoja wa mataifa limependekeza kuwepo idadi ya wanajeshi
zaidi ya elfu kumi katika Jamhuri ya afrika ya Kati kwa ajili ya kulinda
amani.
Tayari kikosi cha umoja wa Ulaya kimepewa ruhusa na Umoja wa mataifa ya
kwenda Jamhuri ya Afrika Kati ili kuwalinda raia.Kwenye azimio
lililopitishwa kwa kauli moja na wanamemba 15 wa Baraza la Usalama la
Umoja wa mataifa ni kwamba viongozi wa makundi yaliohusika na ukiukaji
wa haki za binaadamu wataekewa vikwazo na Umoja huo.Taarifa kamili na
mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo . Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza
alama ya spika za masikioni hapo chini.
0 maoni:
Post a Comment