Falcao alijiunga na AS Monaco Mei 2013 kwa Dau la Pauni Milioni 50 kutoka Atletico Madrid na kufunga Bao 11 katika Mechi alizoichezea.
Msimu huu Falcao amefunga Bao 2 katika Mechi 3.
Dili ya Falcao kwenda Man United pia ina makubaliano kuwa wanaweza kumnunua moja kwa moja kwa Dau la Pauni Milioni 43.5
Radamel Falcao akiwa na Kocha Msaidizi Ryan Giggs kwenye picha ya pamoja
RSS Feed
Twitter
12:26 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment