Licha ya kuwa ugenini, Benfica imefanikiwa kuitwanga Atletico
Madrid kwa mabao 2-1 ikiwa nyumbani kwao Madrid, Hispania.
Kikosi hicho cha Ureno kilionyesha soka safi na kushinda mechi
hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, hali iliyoonyesha kuwaudhi sana mashabiki wa A.
Madrid.
Siku moja kabla, wapinzani wakubwa wa Benfica, FC Porto
walifanikiwa pia kupata ushindi kama huo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya
Chelsea.
Atletico Madrid: Oblak; Juanfran, Godin,
Giminez, Luis; Gabi, Tiago, Oliver (Saul 63), Correa (Torres 77); Griezmann
(Vietto 71), Martinez.
Subs unused: Moya, Savic, Siqueira, Carrasco.
Goals: Correa 23
Booked: Martinez, Oliver
Benfica: Julio Cesar; N. Semedo,
Luisao, Jardel, Eliseu; A. Almeida, Samaris (Fejsa 73), Goncalo Guedes, Nico
Gaitan; Jimenez (Mitroglou 73), Jonas (Pizzi 80).
Subs unused: Ederson, Silvio,
Talisca, Carcela-Gonzalez.
Goals: Gaitan 36, Goncalo
Guedes 51
Booked: Luisao, Eliseu, Samaris, Jardel
Referee: Gianluca Rocchi
0 maoni:
Post a Comment