5-1Akishangilia moja ya bao zake leo usiku huu
Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuipiga vilivyo Wolfsburg
Balaa!
Lewandowski akishangilia baada ya kuifanyia maajabu timu yake na akitokea benchi Akitupia nyavuni Ndani
ya dakika 9 Robert L. alikuwa ameshafunga bao 5 peke yake na kuipa
ushindi mnono Bayern iliyokuwa nyumba ya bao 1-0 usiku huu na kuibuka
kidedea kwa bao 5-1.
0 maoni:
Post a Comment