Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Ndugu Hamis Sued Kagasheki akihutubia
kwenye mkutano huo wa kampeni za CCM leo hii jumatatu septemba 21, 2015.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Ndugu Hamis Sued Kagasheki akiongea na Wananchi wa Jimbo lake la Bukoba Mjini leo.Mgombea Ubunge Bukoba Mjini.Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji
vyake leo hii jumatatu septemba 21, 2015 kwenye Uwanja wa Gymkhana
Bukoba mjini.Wananchi
wa mji wa BUKOBA na vitongoji vyake wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja
wa GYMKHANA wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa
Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli Wengine waliparamia miti ili waone mkanda vyema!kati ni Mh. MwijageMwijage akisalimia Wananchi na kuwapa neno!Fursa kwa wote!Burudani ikishika kasi
Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya
Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni. Diamond Platinumz akitoa Burudani kwenye Mkutano huo Nyomi ya WatuMwenyekiti wa ccm Mkoa Kagera Mama Buhiye akifunguka kwenye mkutano huo. Wasafi!!Bushoke akiburudisha!Bukobaaaa Mpooo!!!Bushoke akiimbaTwendeee!Viongozi meza kuuMr. Blue akifunguka!Mh Temba na CheggeMapanga shaaa!!
0 maoni:
Post a Comment