Dj Slay akiendesha kipindi huku Wasanii wanaotarajia kupanda Jukwaani leo kwenye Tamasha la Srengeti Fiesta 2014 Bukoba wakiwa wanamsikiliza kwa makini wakati wa Maswali na majibu kutoka kwa Wananchi. Tamasha hilo linafanyika leo katika Uwanja wa Kaitaba kwa mara ya kwanza hapa mjini Bukoba.
Msanii wa Kizazi kipya Madee akijibu swali
Mr. Blue na Christian Bella wakifurahia jambo ndani a Studio za Kasibante Fm 88.5
Msanii Barnas akisikiliza jambo kwa makini.
Jux, Ney wa Mitego na Mr. Blue
Mr. Blue nae zamu yake ilifika
Mtangazaji wa Radio Kasibante FM 88.5 Dj Slay akiendesha kipindi hicho
Linah na Recho
0 maoni:
Post a Comment