Timu za Africa Zitafanya Vizuri Brazil. Na kuna sababu za kusema haya kwani Tunaubora unaostahili . Katika michuano mikubwa ya Ulaya Kuna mchezaji Mmoja kutoka Africa katika ligi za ulaya , Na wachezaji hao wanacheza kwa kiwango kikubwa . Tatizo kubwa Africa ni kuwa Viongozi hawatuheshimu .Ni mpaka Tuheshimiwe ,Na hatuwezi kuheshimika na watu wengine kama hatueshimiki afrika .Mimi ndio Nasema , Na ninasema kuwa Africa itasema Brazil.
Je unaionaje Ivory Coast, Inaiwakilisha africa kama Timu bora katika Bara ?
Kila Mmoja ana maoni kuhusu Côte d’Ivoire Ni mmoja kwenye Makaratasi .Ukitazam katika hilo hauwezi kuona kuona usawa katika timu za Africa , Ninachosema kuwa Tembo wa afrika watatakiwa kuonyesha kile ambacho waafrika wanatarajia kutoka kwao. Ni wakati wa wao kuonyesha kuwa wanatakiwa kufanya Kweli katika michuiano hiyo. Watatakiwa kuonyesha kweli wanataka kushinda . Na nina aamini kuwa kizazi hiki kitatakiwa kuonyesha kile ambacho waafrika wanataka .
Ukiwa Nahodha na kupangwa Kundi na Brazil, Huoni kama ni balaa limekuja kwenu ?
Tunamuheshimu kila Mtu na kila Adui yetu tunameshimu na hatudharau mtu Na timu zote zilizo kundini Tunaziheshimu . Ni kweli Brazil tunajua kuwa wapo kwao Brazil itakuwa na Nguvu kubwa kwani wapo kwao na wanamashabiki wao, Hatutawahofii . Katika maisha yangu tumecheza nao mara kadhaa . Tuliwafunga Brazil 2000 katika mashindano ya Kule Sydney. na kulikuwa na Ronaldinho katika timu yao na wengi wengineo. Eto’o Haogopi . Cameroon Haiogopi .
0 maoni:
Post a Comment