Dakika za majeruhi za kipindi cha kwanza Steven Naismith aliwafungia bao la pili Everton na kufanya 2-0 dhidi Gunners baada ya kazi nzuri ya Romelu Lukaku kutoa pasi.
Arsenal wamefunga bao lao dakika ya 83 kupitia kwa Aaron Ramsey baada ya kupata krosi safi kutoka kwa Santi Cazorla iliyowapita mabeki wa Everton. Bao la kusawazisha Arsenal limefungwa dakika ya 90 na Olivier Giroud akisaidiwa na Monreal.
You might also like:
RSS Feed
Twitter
4:03 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment