5:23 AM
Unknown
|
Richie na Jb |
Jana kulikuwa na mechi kati ya wasanii wa Bongo movie na wale wa
Bongofleva katika viwanja vya TTC Chang'ombe huku Bongofleva ikiishia
kunyukwa magoli 3 kwa 2. Mastaa mbalimbali kama vile Ray, Richie,
Jackline Wolper, H.Baba , Abdul Kiba, KR Mullah, JB, Baba Haji,
Efranciah Mangii, Shamsa Ford, Cloud na wengineo walikuwepo kwa ajili ya
kunogesha issue hiyo.
team ya Bongo movie
team ya Bongofleva
kupasha viungo kwanza kabla ya kipute kuanza rasmi
Cloud alilalamika sana baada ya kutolewa na kuwekwa benchi!
Kupa na wenzake
JB huyoooooooo.................Cloud pembeni
KR na Abdul Kiba
0 maoni:
Post a Comment