
Alex akishangilia bao mara baada ya Newcastle kujifunga bao
Aleksandar
Mitrovic Alioneshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumfanyia
rafu mbaya Francis Coquelin. Bao lililowapa Ushindi Arsenal ni la
kujifunga kupitia kwa mchezaji wa Newcastle United Fabricio Coloccini.
Paulista akichuana vikali na Alexandar

Jack na Coloccini wakimsonga mwamuzi

Mitrovic akiondoka uwanjani mara baada ya kuoneshwa kadi nyekundu

Walcott akipagawa mara baada ya kukosa bao la wazi

Giroud akiwania mpira wa Kichwa!

Habari mbaya kwa Kocha Steve wa Newcastle United
0 maoni:
Post a Comment