
2-0 Bao la pili la As Monaco lilifungwa na Berbatov dakika ya 53 na kuwaacha Arsenal wakiduwaa.

2-0

Emirates!!

Ooops ..3-1

Watajutaa!!
Muuaji wa bao la tatu Yannick Ferreira Carrasco.

Kipa wa Arsenal David Ospina akiwa hoi baada ya kushonwa bao

Furaha ya Ushindi Ugenini!! 3-1

Kiongozi Prince Albert akishangilia Ushindi mwishoni!! Baada ya timu ya As Monaco kuitoa kamasi Arsenal.

Olivier Giroud akiwa hana hamu na kipute!

Hoi!! Hakuna cha Sanchez!!

Hali tete!!

2-1

Alex Oxlade akishangilia baada ya kurudisha bao moja

Baadhi ya Wachezaji wa Arsenal wakipagawa baada ya kufungwa na As Monaco
Kipindi cha pili dakika ya 53 Dimitar
Berbatov aliwachoma bao la pili Arsenal na kufanya 2-0 dhidi ya Arsenal.
Dakika ya 90 kwenye dakika za najeruhi Alex
Oxlade-Chamberlainaliwapachikia bao lao la pekee lakini Yannick Ferreira
Carrasco aliyeingia kipindi cha pili alimaliza mchezo kwa kufunga bao
la tatu na kufanya 3-1 na mtanange kumalizika.

Geoffrey Kondogbia salamu salaam akituma!!

Arsenal hoi!!

Kimagumashi tuu As Monaco wameichakaza Arsenal kwao!

Geoffrey Kondogbia akishangilia bao lake baada ya kuichapa bao Arsenal katika dakika ya 38.
Prince Albert nae alikuwemo kipenzi cha Monaco..kwenye uwanja wa Emirates usiku huu!
Mashabiki walisafiri kuja kuipa kampani ya Nguvu timu yao As Monaco kwenye Uwanja wa Emirates!!
Mashabiki wa Monaco na Ujumbe wao!! Shukrani zao!!
Geoffrey
Kondogbia aliifungia bao dakika ya 38 kipindi cha kwanza na kufanya As
Monaco kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Arsenal katika kipindi cha
kwanza. Baada ya Per Mertesacker kuugusa mpira na kuuhamisha uelekea kwa
kipa wake David Ospina langoni. Hadi mapumziko Arsenal 0-1 As Monaco.
Kikosi kilichoanza cha Arsenal

Alex Sanchez

Geofrey akichuana na Cazorla

Kondogbia akiachia shuti kali

1-0

Bao

Kipa wa Monaco Danijel akipagawa kwa furaha kwa kuruka juu baada ya timu yake kushinda

Pongezi!!

Wacezaji As Monaco wakipongezana

Mtatukomaa!! Viongozi nao wa Monaco yale yale...full mzukaaa...


Kocha wa As Monaco Leonardo Jardim

Ni Arsenal
vs AS Monaco
VIKOSI:
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Coquelin, Cazorla, Sanchez, Ozil, Welbeck, Giroud.
Akiba: Szczesny, Gabriel, Rosicky, Walcott, Oxlade-Chamberlain, Monreal, Chambers.
Monaco: Subasic, Toure, Wallace Santos, Abdennour, Echiejile, Dirar, Kondogbia, Fabinho, Joao Moutinho, Martial, Berbatov.
Akiba: Stekelenburg, Kurzawa, Matheus Carvalho, Bernardo Silva, Carrasco, Alain Traore, Diallo.
Refa: Deniz Aytekin (Germany)
0 maoni:
Post a Comment