Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka pamoja na Waziri wa Ujenzi Profesa
Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Barabara ya
Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la ufunguzi wa barabara ya
Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8 wengine katika picha ni Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Mazingira na Muungano Luhaga Mpina, Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti wa CCM Simiyu Titus
Kamani na Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Bariadi kabla ya
kufungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi, katika mkoa wa Simiyu.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Bariadi mara baada
ya kumaliza kufungua barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa
71.8.
0 maoni:
Post a Comment