Wachezaji wa Simba wakishangailia baada ya kupata bao.

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipokea mpira kutoka kwa mwamuzi,
Jacob Odongo kutoka Mkoa wa Mara baada ya kufunga 'hat trick' katika
mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mgambo Shooting mchezo
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

Mshambuliaji
wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mgambo Shooting, Bashiru
Chanache katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanya wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0.

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic akitoa maelekezo kwa Mohamed Hussein.

Mashabiki wa Simba wakifurahia matokeo ya 4-0 baada ya timu yao kuifunga Mgambo Shooting.

Mashabiki wa Simba wakimpongeza Okwi.
0 maoni:
Post a Comment