
Mkurugenzi wa bendi, Isha Mashauzi akilikabili jukwaa vilivyo.
Bendi ya Taarab inayokimbiza mjini, Mashauzi Classic usiku wa kuamkia leo ilikamua kinoma katika ukumbi wa Lina's Night Club Bukoba Mjini.



Isha Makongo akiimba mbele ya Waimbaji wake Jukwaani kuwapa raha mashabiki wao wa bukoba usiku huu.


Kundi la Mashauzi Classic Modern Taarab,
usiku wa kuamkia leo liliwanogesha mashabiki wake katika onesho
lililofanyika Ukumbi wa Lina's Night Club Bukoba na Kushuhudiwa na Watu
wengi waliojitokeza kwa Wingi katika Ukumbi huu.

0 maoni:
Post a Comment