Lionel Messi akishangilia bao lake dhidi ya Athletic Bilbao usiku huu likiwa bao lake la kufungua lango.
Messiakipongezwa!!
Asante baba!! Xavi akimpongeza Messi pamoja na Suarez
Luis Suarez nae katupia la pili
Straika Suarez akifanya yake baada ya kuifungia bao Barca uski huu
Athletic Bilbao wao walianza kurudisha bao zao zikifungwa kipindi cha pili dakika ya 59 kupitia kwa Mikel Rico na bao lao la pili lilifungwa dakika ya 66 na Aritz Aduriz. Pia mtanange huu ulimalizika kwa Atletico Bilbao wakiwa 10 Uwanjani baada ya mwenzao Etxeita kuoneshwa kadi nyekundu.
RSS Feed
Twitter
6:14 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment