Kipindi cha Pili, Man United walifanya mabadiliko kadhaa kwa kuwaingiza kina Valencia, Januzaj na Chicharito na hii ilileta uhai na waliweza kufunga Bao 2 katika Sekunde 90.
t
Bao
la Fulham limefungwa na Steve Sidwell katika dakika ya 19. Bao hilo
limedumu mpaka dakika mwisho kwenye kipindi cha kwanza na timu ya Fulham
ndio imekwenda mapumziko kwa bao 1-0 dhidi ya Wenyeji Man United kwenye
uwanja wa Old Trafford.
Kipindi
cha pili dakika ya 78 Van Persie akasawazisha bao na kufanya 1-1,
kipa ana rahaaaaaaaaaaaaa
RSS Feed
Twitter
9:31 PM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment