Benzema aanza kufungua lango...1-0 Bao hilo lilifungwa dakika ya 30 kipindi cha kwanza. Bao la pili limefungwa na Cristiano
Ronaldo katika dakika za majeruhi dakika 90 baada ya kuachia shuti kali
lililomzidi ujanja kipa wa Cordoba. Ronaldo kwenye patashika..
Ronaldo chini akilalamika!Bale akimiliki mpira..huku akinyemelewa na Matos wa Cordoba
0 maoni:
Post a Comment